Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 752
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu mtaani kwetu mazeeMkuu mi sitachoka kuuliza mnawatoaga wapi lakini hawa watu mbona sisi hatuwaonagi?
Mzee peleka mahali kwa kina Preta, maana naona una dalili za kum........ Preta.Preta nakuja Arusha kumalizia machungu ya NEC/CCM
Jasho hilo mummy watu wanajirusha si kitotohilo ni jasho au mvua ilinyesha?
Jasho hilo mummy watu wanajirusha si kitoto
Jasho hilo mummy watu wanajirusha si kitoto
Wana wamesakata rhumba na kutokwa jasho nyie mwasema mvua mweeh kweli kila jicho huona kivyakejamani ht km ni burudani hapa tena kush nei!!!!!!duh
Kambi ya fis ya hapo mvua ilinyesha lakini watu kwa kupenda kujirusha wamekubali kullowa. Jasho gani mpaka kichwani hebu mcheki huyo demu mwenye gauni la serengeti karikiti yote chepechepe!! Starehe nyingine zinahitaji ujasiri jameni..eh!:tape: