Burudani toka mtaani kwetu - maliza machungu ya uchaguzi

Mkuu mi sitachoka kuuliza mnawatoaga wapi lakini hawa watu mbona sisi hatuwaonagi?
 
hilo ni jasho au mvua ilinyesha?
 
El Toro:

Hilo kama ni jasho, nadhani kulikuw na mashindano ya disko! khaaaa!
 
jamani ht km ni burudani hapa tena kush nei!!!!!!duh
 
Kambi ya fis ya hapo mvua ilinyesha lakini watu kwa kupenda kujirusha wamekubali kullowa. Jasho gani mpaka kichwani hebu mcheki huyo demu mwenye gauni la serengeti karikiti yote chepechepe!! Starehe nyingine zinahitaji ujasiri jameni..eh!:tape:
 
hivi bado kuna wanaoweka 'karikiti'.long time sijasikia hilo neno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…