Buruji

Buruji

decomm

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
726
Reaction score
666
Amani iwe kwetu wana JF.

Hii ni kwa wale waliopitia tu, ukiona huelewielewi ujue hujapitia, hivyo angalia waliopitia watakavyotiririka.

Buruji pendwa kwa kila mmoja ni "chungulia pipa"

Buruji lisilopendwa ni lile la saa 0400 lakini limetusaidia sana kutuweka 'active'

Lile la saa 2200 ni murua na linabembeleza, lakini nani analala! Minazi huota kwanza kabla ya kuweka ubavu chini, lakini siku arobaini za awali hakuna kulala kabisa, yaani ni 'experience' ya aina yake.

Buruji la dharura hufanya ujisikie kweli upo kazini.

Unayesoma hapa, kama unawafahamu wafuatao basi tulipitia sehemu moja bila kutofautiana mida kwa sana:-

Mirudi
Milimba
Masabo
Zowa
Kinama
Mwinuka
Bandeke
Hekaheka, etc.

Baadhi ya teminoloji:-
Dunia
'Shimolamungu'
Nadosoito
Mbuyuni
Bayoges (Bio gas)

Nawatakia weekend njema.
(Pm me with few details for reconnection)
 
Siamini kama humu hakuna 'Mkavirondo' hata mmoja!
 
Back
Top Bottom