The Supreme Conqueror
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 458
- 1,280
Hii sio kauli nzuri ya kuombea watu walio hai. kumbuka mtu mmoja au kikundi tuu cha watu kati ya watu milion hamsini wanaweza leta machafuko. sasa tuingiliapo na kuleta amani ndipo tunawakomoa hao wachache wenye kutaka kudhulumu haki za wengine, wewe huoni Israel haiui watu wasio na hatia bali wale wachache tuu wasio amini suluhisho la amani. yupo wapi Moahamedi mahbor, Mohamedi hamshari, Nawatif hawatmeh, Abdelman Ranzizi, sheikh yasin na Abu Jihad?Na sisi waafrika upumbavu na ujinga umezidi kipimo.
Uchu wa madaraka umekuwa ulevi wa wanasiasa..
Ifikie hatua tuwaache wauane pengine itafikia hatua waseme inatosha japo watakao kufa sio vuongozi Ni wananchi.
Hata Idd Amin alipoivamia Sehemu ya Tanzania 1978Hakuna aliyetoa Kauli ndugu hata OAU walikuwa kimyaaaaa.Umesahau mkuuu????Nchi zote za Africa mashariki wapo kimya kama hawaponi tunawasubiri wazungu waje kutatua migogoro yetu.
Kwamba israel? Huyo Israel keani nani anampa hiyo haki ya kukalia ardhi za wengine na hata kujichagulia yeye kwa raha zake wasiotaka suluhisho la amani na kuwauwa?Hii sio kauli nzuri ya kuombea watu walio hai. kumbuka mtu mmoja au kikundi tuu cha watu kati ya watu milion hamsini wanaweza leta machafuko. sasa tuingiliapo na kuleta amani ndipo tunawakomoa hao wachache wenye kutaka kudhulumu haki za wengine, wewe huoni Israel haiui watu wasio na hatia bali wale wachache tuu wasio amini suluhisho la amani. yupo wapi Moahamedi mahbor, Mohamedi hamshari, Nawatif hawatmeh, Abdelman Ranzizi, sheikh yasin na Abu Jihad?