Burundi: Rais Evariste Ndamishiye asema mashoga wapigwe mawe hadharani

Wewe shoga hebu acha kutujazia server zetu. Sisi huku Geita tulishaanza kuwapeleka motoni siku nyingi. Janaume zima kabisa unafirw ni aibu kubwa sana naungana na Rais wa Burundi kuwapiga mawe mpaka mpotee!!
Chato wanaendeleaje?
 
Narudia tena.

Mtu kuwa shoga si kosa la yeye kuvunjiwa haki zake za kiubinadamu.

Haki za msingi za watu ziheshimiwe.
Shoga hana haki yeyote. Mbwa anamzidi haki, yaani bora kufuga mbwa kuliko shoga.
 
I concur with you.

Kiufupi Miafrica ni watu wajinga wajinga ,mambo ya hovyo hovyo yasiyo na Tija sana ndio yamechukua sehemu kubwa ya ubongo wao.

Ndio maana Mwendazake alikuwa anawaweza Kwa propaganda na vimiradi visivyowasaidia.

Mwisho ushoga haukubaliki Africa,tutawatia kiberiti.😁😁
 
Lina Tija kiutamaduni na kimaadili.Hatuwezi kuwa na watu legelege wanaoliwa Tigo
 
Nyie mashoga Afrika hii tutawafyeka wote
Kwanini tusianze kwanza na mafisadi? Wala rushwa na viongozi wazembe?
Hao wanatupa hasara zaidi ya mashoga.

Ushoga sio tamaduni zetu na tunapaswa kuupinga ila haijalishi tunauchukia kiasi gani hatuna haki ya kuua mtu kisa kaamua kuwa shoga, adhabu ya miaka 2 jela inatosha.
 
Rais wa Burundi Evariste Ndaishimiye ameagiza wapenzi wa jinsia moja (mashoga na wasagaji) nchini humo kupigwa mawe hadi kufa kwani matendo yao ni kinyume na maagizo ya mwenyezi Mungu
o
Tanzania kwa nini tusiweke sheria kama hii? Maana kuwafunga haisaidii chochote kwani huko mahabusu na magereza wanaendeleza kufanya huu ufirauni
 
Zambi zote zina uzito sawa kwa mujibu wa maandiko hivo ikiwa kama tumeamua kuwahukumu watu makosa yao hapa duniani na iwe hivo hata kwa wazinzi wadogo wadogo, yaani hata mtu yeyote akibainika amechepuka basi apigwe mawe hadi kifo.
 
Hiyo itakuwa nchi au jamuhuri ya vichaa?

Watu wakianza kushambuliana kwa vigezo vya ushoga basi mtu yeyote anaweza kuwa muhanga.

Ukivaa hereni au suruali ya kubana unapondwa mawe. Ukikohoa kidogo unaambiwa wewe shoga, unashambuliwa.

Burundi ni nchi iliyochanganyikiwa. Hata Rais wake anaonekana ni hamnazo wa akili. Hakuna Rais anayeweza kuchochea ghasia isipokuwa punguani.
 
Huyu anayejiita NdayeSHIME ni punguani, hata anawaongoza pia ni wale wale tia maji tia maji.

Kama ingelikuwa ni nchi timamu, Rais hawezi kuthubutu kubwatuka maneno ya kuchochea uhalifu na ghasia kama alivyofanya huyo Rais hafifu wa matopeni NDAYESHIME.

Na kwa kuthibitisha hili, nchi yake ni nchi kapuku nambari moja ulimwenguni. Hii inaashiria Rais Ndayeshime ni Rais wa matopeni ambaye hana hadhi wala uwezo wa kuzungumza kitu chochote intellectual.
 

Attachments

  • Screenshot_20231229-231241.jpg
    104.5 KB · Views: 2
Hawajamsikia Papa?
 
Vigezo na masharti ya kuheshimu haki za binadamu ili kupata mikopo tuliokopa kwa wahisani na taasisi kubwa za kifedha.
 
Huyo Rais ni mnafiki tu. Hivi athari ya mashoga na hawa viongozi mafisadi na haya majitu yanayoiba kura au kujitangazia ushindi wakati wananchi hawakuwachagua, ipi huleta mateso na majuto zaidi kwa nchi na mataifa yao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…