Burundi yafuata nyayo za Tanzania, yakataa chanjo

Burundi yafuata nyayo za Tanzania, yakataa chanjo

Buyaka

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Posts
1,705
Reaction score
1,953
Kuna wakati Tanzania enzi za Rais Julius Nyerere tulikuwa tunachukuliwa kama kinara wa misimamo mikali ya dunia ya tatu dhidi ya wakubwa walioendelea. Halafu tukazorota, mpaka tukapelekeshwa mputa na the Kenyans, of all the nations of the world.

Ujio wa John Magufuli umeturudishia kiti cha uongozi wa kiaidiolojia wa masuala ya dunia ya tatu.


Burundi says it doesn’t need COVID-19 vaccines, at least yet

Associated Press
Toronto Star

NAIROBI, Kenya
Burundi has become at least the second African country to say it doesn’t need COVID-19 vaccines, even as doses finally begin to arrive on the continent that’s seeing a deadly resurgence in cases.

The health minister of the East African nation, Thaddee Ndikumana, told reporters on Thursday evening that prevention is more important, and “since more than 95% of patients are recovering, we estimate that the vaccines are not yet necessary.”

Neighbouring Tanzania this week said it had no plans to accept COVID-19 vaccines after President John Magufuli expressed doubt about them, without giving evidence. He insists the country has long defeated the virus with God’s help but faces growing pushback from fellow citizens, and officials with the Africa Centers for Disease Control and Prevention and the World Health Organization have urged Tanzania to co-operate.
 
Burundi bora iishikilie vzr bongo,maana ikileta jeuri tu ikaachwa isimame yenyewe then ijiandae kutwaliwa na PK asubuhi tu.

BTW nchi yenye annual budget ya $600mil uwezo wa kulipia hizo chanjo utatoka wapi?
 
Warundi bwana badala ya kusema kutokana na umaskini na jeuri yao yakutofuata vigezo na masharti vyakupambana na Covid19 vilivyoweka na Who wamenyimwa chanjo za nafuu nao wanajidai hawataki chanjo!

Soma

Tanzania, Burundi not to get COVID-19 vaccine doses​

2 East African countries excluded as WHO announces rollout plan​

 
Watanzania na warundi wataenda nchi jirani tu na watachanjwa kitu ambacho kitakuwa ni pigo kubwa sana kwa akina Magufuli na wale wenye fikra kama zake.
 
Magufuli alishapata chanjo ya Corona siku nyingi sana, sasa hivi ametulia kimya watu wafe hasa wajinga!
 
Therefore this 5% need to die! These stupid African dictators! Let that 5% include their families
Kuna watu mnajionaga mna akili kweli hasa mkishakuwa maarufu kwenye kutoa comments kwa kila mada.
 
  • Thanks
Reactions: tyc
hii nchi inashida gani kwani? mbona kila habari isiyowahusu inatokea kwao? MK254 hua amna mambo ya kureport mpaka kutwa kufatilia ya wenzenu.... mna nini nyie?
Unaelekea kuwa kama yule zuzu wa vile vipande vya glasi mfano wa almasi?.

Utoaji wa habari nzito hapo bongo kwa sasa haupo na hakuna chombo kinachoweza kuandika, hapa JF tuna bahati bado Mwenyezi Mungu ameshikilia ofisi ya ndg yetu Max, so weka akili mbele.
 
viongozi wanakataa chanjo ya korona je vipi kuhusu ninyi raia wa nchi hzo zilizo kataa chanjo,,nanyi mmekataa au ndo vile bendera fata upepo
 
IMG_0227.jpg
 
Therefore this 5% need to die! These stupid African dictators! Let that 5% include their families
Who told you that with the vaccine deaths go to 0%?? Like which country has vaccinated her people and they are not dying any more??[emoji2369][emoji2369][emoji2369]
 
Magufuli alishapata chanjo ya Corona siku nyingi sana,sasa hivi ametulia kimya watu wafe hasa wajinga!
Ili iweje sasa watu wakishakufa inamfaidisha nini yeye? kweli kila mtu na mawazo wengine wanakwambia alikimbilia chato kuogopa corona na wewe unasema ameshachanja chanjo basi ilimradi tu kila mtu anaongea lake.
 
Magufuli alishapata chanjo ya Corona siku nyingi sana,sasa hivi ametulia kimya watu wafe hasa wajinga!
Waliofakamia hizo chanjo hujaaikia kinachowapata? waliondoka hapa kwa Siri waka kwea pipa S. Africa kupiga chanjo, wakarudi kimyakimya.baada ya siku 5 wako hoi, mmoja hatunae tena [emoji848][emoji848] Mungu ailaze roho yake mahali pema, Amina, amsamehe pia kwa kukosa maarifa.
 
Back
Top Bottom