Tetesi: Bus la budget lapata ajali

Tetesi: Bus la budget lapata ajali

Manosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2012
Posts
4,510
Reaction score
3,593
Basi la kampuni ya Budget limepata ajali mida hii
Update na picha zitafuata
 
Duh umeshtua moyo wangu sana nikasema labda bus lililobeba budget inayotarajiwa kusomwa na sijui kwanini niliwaza hivyo yaani tokea lini budget ikabebwa na bus
 
Ajali imetokea wapi? Sababu ni nini? Gari ilikuwa inatoka wapi na ilikuwa inaenda wapi? Majeruhi wangapi? Etc..
 
La njombe? Mbona hilo basi ni bovu sana kama bado linabeba abiria basi askari wa usalama barabarani watakuwa wazembe sana
 
3hours ago, picha bado Mkuu? Basi haya taarifa zingine ili habari Ishibe kidogo!
 
Back
Top Bottom