M Manosa JF-Expert Member Joined Apr 20, 2012 Posts 4,510 Reaction score 3,593 Mar 24, 2016 #1 Basi la kampuni ya Budget limepata ajali mida hii Update na picha zitafuata
ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 21,643 Reaction score 51,642 Mar 24, 2016 #2 Duh umeshtua moyo wangu sana nikasema labda bus lililobeba budget inayotarajiwa kusomwa na sijui kwanini niliwaza hivyo yaani tokea lini budget ikabebwa na bus
Duh umeshtua moyo wangu sana nikasema labda bus lililobeba budget inayotarajiwa kusomwa na sijui kwanini niliwaza hivyo yaani tokea lini budget ikabebwa na bus
Ngisibara JF-Expert Member Joined Jan 2, 2009 Posts 3,387 Reaction score 2,245 Mar 24, 2016 #3 Ajali imetokea wapi? Sababu ni nini? Gari ilikuwa inatoka wapi na ilikuwa inaenda wapi? Majeruhi wangapi? Etc..
Ajali imetokea wapi? Sababu ni nini? Gari ilikuwa inatoka wapi na ilikuwa inaenda wapi? Majeruhi wangapi? Etc..
B bigonzo JF-Expert Member Joined Feb 23, 2016 Posts 2,914 Reaction score 2,255 Mar 24, 2016 #5 La njombe? Mbona hilo basi ni bovu sana kama bado linabeba abiria basi askari wa usalama barabarani watakuwa wazembe sana
La njombe? Mbona hilo basi ni bovu sana kama bado linabeba abiria basi askari wa usalama barabarani watakuwa wazembe sana
Mgibeon JF-Expert Member Joined Aug 7, 2011 Posts 11,308 Reaction score 21,507 Mar 24, 2016 #6 3hours ago, picha bado Mkuu? Basi haya taarifa zingine ili habari Ishibe kidogo!