Justine Nesta Roberts
Member
- Oct 6, 2016
- 6
- 1
Nenda stand ya Magufuli utalikuta. Kuna FALCON, FRIENDS, SAIBABA n.k.Habarini wadau.
Natafuta basi la kutoka Dar es Salaam to Kampala ambalo lina huduma nzuri
Ahsanteni
Mara ya mwisho nilipanda " trinit" na linaendeshwa na mwanamkeHabarini wadau.
Natafuta basi la kutoka Dar es Salaam to Kampala ambalo lina huduma nzuri
Ahsanteni
Nenda stand ya Magufuli utalikuta. Kuna FALCON, FRIENDS, SAIBABA n.k.
Mara ya mwisho nilipanda " trinit" na linaendeshwa na mwanamke
Vp bado hujafika kampala? Kiongozi
Mungu ni mwema. Any updates za kampala?Nshafika mkuu Shukrani
Nmegeuka tayari pia[emoji120]
Ulisafiri kwa basi gani?Nshafika mkuu Shukrani
Nmegeuka tayari pia[emoji120]
Hivi ulienda kwa bei gani had Kampala?Nshafika mkuu Shukrani
Nmegeuka tayari pia[emoji120]