Bus la Rais Mugabe

Bus la Rais Mugabe

Pape

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2008
Posts
5,487
Reaction score
83
i1262_image002.jpg

i1263_image003.jpg

i1264_image005.jpg

i1265_image008.jpg

i1266_image009.jpg

Have fun!
 
Ndo ule mkopo tuliowapa sometime this year!??
 
Kuna ukweli wowote katika hili,tafadhali naomba confirmation kama kweli Mugabe anakula raha kiasi hiki huku wananchi wake wakiwa wanalala njaa.

Yale yale ya kubembea wakati mambo huku yanaharibika.
 
naona unautani na JK, eti kubembea teh teh teh...
 
Ts not true, apande akiwa anaenda wap? wakati anayo private jet na safari za hapa na pale anatumia gari za ikulu ndogo
 
sasa hilo ni gari la nani?
 
Huyu jamaa anastaili kuwa na chombo kama hiki,amewafanyia mengi waafrika hivyo wacha ale raha.Lakini mbona sijaona sehemu ya kwenda haja au ina maana huyu mzee kaziba...
 
cjui kwahilo...
 
Kuna ukweli wowote katika hili,tafadhali naomba confirmation kama kweli Mugabe anakula raha kiasi hiki huku wananchi wake wakiwa wanalala njaa.

Yale yale ya kubembea wakati mambo huku yanaharibika.

Ndio viongozi wa Kiafrica. Any way lakini haka kababu kanalitumia kufanyia nini??????
 
Hapana Sikubaliani na hili. Rais wa Africa anapanda hili basi kwenda wapi? Barabara zenyewe ziko wapi. Kuna mtu amefika Harare au Bulaweyo? Kama yupo tujadiri ukweli wa hii picture. I can say it is a nightmare for Africa.
 
wewe ndo unaona nightmare na mtakaaa mnashangaa mpaka yesu arudi lakini habari ndo hiyo
 
hao ndio mafisadi papa na manyangumi,wakati wananchi wake wanakufa njaa na wanakufa kama utitiri kwa kipindupindu yeye ananunua basi la mamilioni ya dola, mungu amlaani apte nalo ajali afie humohumo liwe kaburilake nyangau mkubwa huyu.
 
Back
Top Bottom