Bus zuri la kwenda moshi

Afadhal Hilo Hakuna charging system kabisa mwendo wa kushika roho yako tu mkonon

Naomba nishukuru kwa kushiriki.naenda panda bus la jirani yangu Daby.

Ila mie nae hata sieleweki haki tena[emoji23][emoji23]
 
Naomba nishukuru kwa kushiriki.naenda panda bus la jirani yangu Daby.

Ila mie nae hata sieleweki haki tena[emoji23][emoji23]
Ha ha ha ha ha kumbe umejijua una shida ehee mara unataka mara hutak huyo Daby ndio dereva wetu sjui hata atakusaidiaje
 
Ha ha ha ha ha kumbe umejijua una shida ehee mara unataka mara hutak huyo Daby ndio dereva wetu sjui hata atakusaidiaje

Mwambie anisaidie kivyovyote tu jmni
Mi ndo nishachanganyikiwa hapo.
Daby come kwa kipande hii
 
Mwambie anisaidie kivyovyote tu jmni
Mi ndo nishachanganyikiwa hapo.
Daby come kwa kipande hii
Wewe naona haya magari yetu hayakufai kabisa maana roho yako unaionea huruma sana

Panda haya yafuatayo
1. Kilimanjaro
2.Tahmeed
3.Ngorika
4.Bufalo
5.Happy Nation
6.Dar Express
 
Wewe naona haya magari yetu hayakufai kabisa maana roho yako unaionea huruma sana

Panda haya yafuatayo
1. Kilimanjaro
2.Tahmeed
3.Ngorika
4.Bufalo
5.Happy Nation
6.Dar Express

Aaaaaa siyataki yote bhana naondoka na ungo tu.mi haya mambo yenu ya kizungu yameshanishindaga.
 
....ushakula chuma wewe,tulia!
...umenisaidia kuwa mfano kwa msg yangu ambayo usipotuliza akili huwezi iona!
..nimemalizana na wewe,
...asante na kwaheri!
 
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…