Nilimuona huyu dada wakati akigombea uchaguzi mdogo, alikuwa mchovu mchovu fulani, hajiamini, wala hana uwezo wa kujieleza. Aliposhinda tuu, akachenge, soap soap kwa sana, ndipo nikamuona na hidden beauty yake she is humble, leo namtafuta kwa simu, simu yako iko off all the time, hiyo ni dalili...