Naamini kila mtu humu ndani anaupeo mkubwa wakushauri jambo hasa kuhusu elimu na coz zake!
Hivi wanajamvi kunautofauti gan (kwa wale wanaojua) kati ya coz ya BACHELOR OF ACCOUNTING AND FINANCE WITH IT and
BACHELOR DEGREE IN PUBLIC SECTOR ACCOUNTING AND FINANCE..!
vipi kuhusu soko lake la ajira na utofauti wake maana zinanichanganya kidogo!