Busara sio kukubali kupelekeshwa kama makondoo

Rozela

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
845
Reaction score
2,235
Vijana wa CHADEMA wakiongozwa na Yericko Nyerere wanasema Lissu hakupaswa kusema mapumgufu ya chama anayotaka kuyafanyia kazi. Wanadai watu wakijua uhuni ulio ndani ya chama watakimbia.

Ni jambo la ajabu kwa mwandishi wa vitabu kuwa na mawazo finyu namna hii unless kuna faida anaipata kwa kusema hivyo.

Hongera sana Lissu na wachache waliochoka kupelekeshwa kama makondoo.
 
Mbowe alishachukua akili zao zote!
.
Ndio uone sasa kwanini ccm huwa inajipa kiburi kila ukifika uchaguzi kumbe inajua huko upinzani kuna mavi matupu
Hahahaa, hatari sana aisee.
 
Gentleman,
kwahiyo mmeamua kulumbana na kuumbuana hadharini wenyewe kwa wenyewe right?

si kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni chadema, na hakuna mgawanyiko wala nyufa kwasabb ya hilo, right?

mbona ni kama mnakasirikiana badala ya kuskizana na muinjoy uhuru wa kutoa maoni na haki ya kusema ukweli?🐒
 
Mbowe alishachukua akili zao zote!
.
Ndio uone sasa kwanini ccm huwa inajipa kiburi kila ukifika uchaguzi kumbe inajua huko upinzani kuna mavi matupu
kwahiyo wanao paruana chadema ni hiyo kitu uloitaja tupu, right? dah 🐒
 
Double agent anazipiga anasunda mfukoni jukwaani anafika moyoni wa kijaniii.

Mwana Harakati wa kweli kuwa Tajiri ni ngumu Sana.
Wakagueni.
 
Vijana wa CHADEMA wakiongozwa na Yericko Nyerere wanasema Lissu hakupaswa kusema mapumgufu ya chama anayotaka kuyafanyia kazi. Wanadai watu wakijua uhuni ulio ndani ya chama watakimbia.

Ni jambo la ajabu kwa mwandishi wa vitabu kuwa na mawazo finyu namna hii unless kuna faida anaipata kwa kusema hivyo.

Hongera sana Lissu na wachache waliochoka kupelekeshwa kama makondoo.
Ninachompendea lissu ni uwazi, hatuhitaji viongozi wanafiki, usiri ndo unaoharibu mambo mengi nchini kwetu, Mnailaumu ccm kwa kuficha mikataba, vipi kwa chadema😂😂
 
Siasa sio sayansi ya mwafrika,siasa zetu ni kufurahisha wakubwa ili mikopo isikate,tutakoma kwa mikopo
 
Back
Top Bottom