Gentleman,Vijana wa CHADEMA wakiongozwa na Yericko Nyerere wanasema Lissu hakupaswa kusema mapumgufu ya chama anayotaka kuyafanyia kazi. Wanadai watu wakijua uhuni ulio ndani ya chama watakimbia.
Ni jambo la ajabu kwa mwandishi wa vitabu kuwa na mawazo finyu namna hii unless kuna faida anaipata kwa kusema hivyo.
Hongera sana Lissu na wachache waliochoka kupelekeshwa kama makondoo.
kwani yupo sasa gentleman? Mtaje?๐Wanaboa sana. Ni kama CHADEMA hakuna mtu wa kuwa mwenyekiti
kwahiyo chadema waparuane wenyewe kwa wenyewe ilaumiwe CCM, dah ๐คฃTanzania kiujumla ni makondoo. Serikali ya CCM inatufanya makondoo
kwahiyo wanao paruana chadema ni hiyo kitu uloitaja tupu, right? dah ๐Mbowe alishachukua akili zao zote!
.
Ndio uone sasa kwanini ccm huwa inajipa kiburi kila ukifika uchaguzi kumbe inajua huko upinzani kuna mavi matupu
Ninachompendea lissu ni uwazi, hatuhitaji viongozi wanafiki, usiri ndo unaoharibu mambo mengi nchini kwetu, Mnailaumu ccm kwa kuficha mikataba, vipi kwa chadema๐๐Vijana wa CHADEMA wakiongozwa na Yericko Nyerere wanasema Lissu hakupaswa kusema mapumgufu ya chama anayotaka kuyafanyia kazi. Wanadai watu wakijua uhuni ulio ndani ya chama watakimbia.
Ni jambo la ajabu kwa mwandishi wa vitabu kuwa na mawazo finyu namna hii unless kuna faida anaipata kwa kusema hivyo.
Hongera sana Lissu na wachache waliochoka kupelekeshwa kama makondoo.