Busara, uelewa, na mawazo yako ya kimantiki ndio sehemu yake hapa...

yakiti's son

Member
Joined
May 19, 2013
Posts
12
Reaction score
0
Haki iko kwa nani? mtu ameuziwa shamba katoa pesa kidogo kwa miadi ya kumaliziana kwa muda fulani na wameandkishiana kisheria lakn mwenye shamba akawa anashda kabla ya muda wa kumaliziwa pesa akaamua kuuza shamba baadae...inaendelea ukurasa wa chini
 
...mteja wa 1 akagundua shamba ameuziwa mtu mwingine naye kisheria walpomuulza mmlik akasema aliuza kwa mteja 2 sababu alikua na shda hvyo yupo tayari kumrudishia fedha mteja 1 mteja wa 1 akakataa akasema shamb ni mal yake kwan muda wa kummalizia...
 
..pesa kama miadi yao haujafika na mteja wa 2 naye anasema shamba ni lake kwan ametoa fedha taslim na wameandikishiana na wote wana hati ya mauziano..sasa wanajf kazi kwenu hapo nani mmilik halal wa shamba hilo mteja 1 au mteja 2? na kwa vigezo vipi?
 
The devil is usually in the details. Sasa details za hayo maandikishiano zinasemaje?
 
Hizi assignments watu wanaleta huku daahh..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…