Busara ya Mbowe kwa Samia ni sawa na busara ya kondoo kwa mbwa mwitu. Ambayo kondoo ameishia kuliwa na Mbwa mwitu.
Mbowe na siada za ukondoo kwa watu na mafisadi wa nchi hii haziwezekani. Nchi inahitaji Mbwa mwitu wengine kupigania kondoo sio vinginevyo.
Hili ni fundisho kuna wakati hutakiwi kuwa kundoo mpole mpole kwenye haki