Heaven Ambassador
Member
- Oct 27, 2017
- 91
- 94
Hata Kama mengine wanamuonea~ alisikika mama mmoja wa zaidi ya miaka 50 akisema. Namkumbuka mama yule aliesema hatopiga kura mpaka barabara ya mkoa wake kuwekewa Rami. Mara nyingi alikuwa hawaungi mkono wapinzani japo si mwanasiasa wa upande wowote.
Siku moja Mh. Mbowe alikamatwa jijini mwanza, alitakiwa kujibu mashtaka jijini mwanza na wakati huohuo alitakiwa akajibu mashtaka jijini Dar es salaam. Ni kweli alikamatwa na ilikuwa hivyo. Mama yule alisema hivi ina maana Mbowe ndo mkosaji wa Kila siku na hapo aliamini Mh. Mbowe Ni mtu mwema Sana na mpenda haki.
Mbowe anatetea watanzania na tukumbuke anamema yake mengi imiwemo hotuba moja aliyoitoa bungeni kwa hisia na maumivu toka moyoni kuiomba serikali kusikiliza hoja zao.
Sasa Mbowe yu mahabusu, anaamini katika Mungu nasi twaamini hivyo, Kama Paul na silla walivyotoka gerezani naye itakuwa hivyo hivyo.
Mh. Mbowe Hakika wewe Ni legendary.
Tukizungumzia upinzani huyu Ni kamanda. Naimani Ni baba pia na ana familia inayomtegemea na mke pia, hao wote wanamlilia. Natambua unajifunza mengi huko na utakuja na mengi, maisha yako niyamapambano siku zote.
Falsafa ya ufagio Ni unyenyekevu, Asante mh. Mbowe.