We minda hujatulia hivi wewe ni me au ke ila picha zako hazina mvuto maana ni photoshop...
tunaambiwa mzee wa kukwepa kiatu kwa sasa mambo yake swaaaaafi; kifriji kinachomoza utadhani mtemi fulani wa kiafrika au mbunge wa bongo; huku akitumia muda mwingi kupiga soga na mkewe Laura!!!
Osama naye tunaambiwa tangu afurumushwe tura bora, mambo yake poa kabisa kwani anaishi uswazini kweupeeee; amepangisha nyumba nzima huko pakistani na nasikia ni mzee wa chuma!!!
http://www.freakingnews.com/Fat-Belly-Pictures-6603.asp
http://www.freakingnews.com/Fat-Belly-Pictures-6603.asphttp://www.freakingnews.com/Fat-Belly-Pictures-6603.asp
me dume dadangu!!!
photoshop: asante bado najifunza; kumbe we hizi picha unazopostigi huwa unapiga mwenyewe!! hongera sana itabidi nikutafute unipatie japo 'kifurushi kimoja' tu.