Bush stars na Born Town first eleven.....

Bush stars na Born Town first eleven.....

Eeh bwana ilikuwa hatari sana.
Mimi nilikuwa napenda yale madongo wanayopeana wakati wa game.
Wa vijijini wakiwatuhumu wa mjini kuwa ni warembo/walaini kama watoto wa kike, wa mjini wakiwatuhumu wa vijijini wachafu na ushamba wao.
Bila kusahau mazoezi makali ya Bush Stars....daah!
 
kuna mtu anakumbuka first eleven....ya timu hizi...
mimi namkumbuka Madenge tu mzee meko wa bush stars
na mtangazaji sukununu...

Madenge kweli kiboko aiseeee....
 

Attachments

  • 1443548705528.jpg
    1443548705528.jpg
    110.7 KB · Views: 786
Lodi lofa,Profesa ndumilakuwili,pimbi,sokomoko na chupa yake ya gongo

Lodi Lofa ndie alikua akinimaliza kwa majibu yake aiseeee......!!
 

Attachments

  • 1443549913202.jpg
    1443549913202.jpg
    42.9 KB · Views: 709
Back
Top Bottom