kuna mtu anakumbuka first eleven....ya timu hizi...
mimi namkumbuka Madenge tu mzee meko wa bush stars
na mtangazaji sukununu...
Lodi lofa,Profesa ndumilakuwili,pimbi,
Hivi kipepe hakuwepo kweli?
kuna mtu anakumbuka first eleven....ya timu hizi...
mimi namkumbuka Madenge tu mzee meko wa bush stars
na mtangazaji sukununu...
mmmh mi nakumbuka kitintale...mayuku....ila hawa hawakuwa wachezaji!mchezji namkumbuka golden boy mapung'o
Lodi lofa,Profesa ndumilakuwili,pimbi,sokomoko na chupa yake ya gongo