Busha

Busha

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
94,296
Reaction score
122,540
Hivi kwa nini wale wazee wenye mabusha ukiwajambisha wanaruka?
 
Huwa nafrahi sana kuona wanavyo rukaruka nasikia ni midadi tu Komredi ndo huwa inawafanya waruke ruke kuna vitu vinatekenya kwenye busha
 
Lazima tutakuwa na wenye mabusha humu ngoja tuwasubiri watueleze....
 
Alafu nasikia wanawake wanawapenda sana wenye mabusha maana anapata raha mara mbili ule mzigo unagonga gonga pale kwenye kujiexpress
 
Kwikwikwikwiiiii...hata mimi nshaisikia hiyo. Nasikia pale Mlandizi wapo wengi sana wenye mabusha....ngoja tuwasubiri akina FL1 waje watueleze kulikoni wao na kupenda wenye mabusha...
 
Alafu nasikia wanawake wanawapenda sana wenye mabusha maana anapata raha mara mbili ule mzigo unagonga gonga pale kwenye kujiexpress

ha ha ha........we shem acha uongo....mmmh hii mbona kali
 
Wenye mabusha tunaomba mwongozo wenu hapa plizi.
 
Back
Top Bottom