Naomba msaada wapi nitapata cassete za chine au kwa maneno mengine zile tray na base yake za mashine ya canono maana nilichukua brand lakini kwenye box lake hazikuwemo ilikuja na tray moja tu ambayo inachua karatasi aina zote msaada tafadhali box lenyewe hilo hapo