SOFTWARE Business accounting software with mobile money integration

Bei ni sh ngapi.
Habari Shayla, gharama ya kufunga system ni sh. 500k. Inakuwa na basic website. Ukihitaji website design unayopenda kama mfano kwenye attachments gharama itakuwa 650k. Gharama ni pamoja na training na support kwa mtumiaji.

Ingia hapa kuona mfano wa website iliyounganishwa na system. Hii inakuwezesha kutangaza biashara yako na kuuza bidhaa kwa wakati mmoja
 

Attachments

  • Mfano wa order zilizowekwa online.png
    29.5 KB · Views: 48
  • Weekly report zinaweza kutumwa kwenye email yako .png
    62.7 KB · Views: 46
  • Sample Website Design Kulinga na biashara yako.png
    151.4 KB · Views: 53
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…