laussane
JF-Expert Member
- Oct 8, 2009
- 255
- 132
Habari ya Ijumaa wana JF, naomba tujuzane, ukikuta wallet ya Mr ina business card ya massage clinic wakati haujamsikia ata sikumoja km alienda massage inakuwa imekaa vp hii? na vp ukiikuta katk handbag ya wife na mr hujaambiwa hata siku moya kama mama anapitaga massage clinic imekaa vp hii? Naomba tujuzane wajameni