Business card ya Massage Clinic

laussane

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2009
Posts
255
Reaction score
132
Habari ya Ijumaa wana JF, naomba tujuzane, ukikuta wallet ya Mr ina business card ya massage clinic wakati haujamsikia ata sikumoja km alienda massage inakuwa imekaa vp hii? na vp ukiikuta katk handbag ya wife na mr hujaambiwa hata siku moya kama mama anapitaga massage clinic imekaa vp hii? Naomba tujuzane wajameni
 

Hii Thread haina Tija kwa masilahi ya Taifa

Please unaweza kufuta hii thread??
 
mimi nna bussiness card ya kampuni ya vufaa vya bakery....
na sina mpango kufungua bakery
nina bussiness card ya ofisa wa benki ya banco acb na sina mpango wa kufungua akaunti hapo
umeelewa????????/
 
JeyKey kama uko main road sio lazima uangalie kushoto na kulia unaweza ukaendesha straight ilimradi usipitilize
 
mimi nna bussiness card ya kampuni ya vufaa vya bakery....
na sina mpango kufungua bakery
nina bussiness card ya ofisa wa benki ya banco acb na sina mpango wa kufungua akaunti hapo
umeelewa????????/

Asante mkulu umesomeka vema kabisa! Ijumaa kareem
 

pole kwa kujiumiza roho, hiyo sidhani kama ina maana yoyote chafu,
 
tuambie kwanza wewe ungefanyeje, tutapata wazo ukianza wewe.
 
labda alikutan na mtu mwenye hiyo cliniq akampa unajua biashara matangazo eee
 
anatafuta techniqs za kwenda kupambana na msela wake, anataka tumjaze hasira wakachefuane.
 
akienda si atakwambia? Hiyo kadi kapewa tu, tena labda ina komplimentari yake na waif. Tulia upewe suprise, sio kila kitu usichoambiwa kina hila
 
kama unaishi Dar mimi massage parlour karibu zote nimeenda kuna za kistaarabu na kuna za kihuni,nitajie jina tu nitakwambia kama uwe na amani au uanze kuchunga mzigo wako.
 
Business Card sio Risiti....
Mimi nina Business Card ya Bill Gates hapa.., ingawa sijawahi kukutana nae na wala situmii products zake
 
Business Card sio Risiti....
Mimi nina Business Card ya Bill Gates hapa.., ingawa sijawahi kukutana nae na wala situmii products zake
Hapana mkuu Laussane kama kakuta Business card ya massage parlour flani saba zinazo ongoza kwa mambo yanayoambatana na massage kwakweli inabidi awe na wasiwasi totoz zingine zipo pale KUTUHUJUMU.
 
Duh hii, haina kichwa wala miguu huyu great thinker nadhani ame over sight.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…