Business consultation bongo imekaaje?

Business consultation bongo imekaaje?

Paul S.S

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2009
Posts
6,407
Reaction score
3,260
Wadau maranyingi sana watu wengi tuna idea nzuri za kuanzisha biashara, na hata ukiangalia jukwaa hili utaona wengi wanauliza kushauriwa kuhusu kuanzisha biashara mbali mbali.
Na ukiangalia kiundani utakuta wengi wao ni waajiriwa hivyo hawana utaalamu wala muda kufuatilia kufanya research kuhusu idea zao za biashara.
Kwa wenzetu walioendelea sana kazi hii hufanywa na business consultant ambaye unamlipa kwa kukushauri biashara ya kufanya na pengine kukusimamia kutokana na mlivyokubaliana.
Naamini na bongo hawa maconsultant wapo, lakini je mtu kama mimi mwenye mtaji kama m15 ntaweza kumudu gharama zao, au pengine ni sisi tu tunaogopa kuwaona pengine gharama zao si kama tunavyo fikiria.

Mwenye ujuzi na ufahamu na hili hebu tuelimisheni maana naamini wapo wanaofanyakazi huko au waliowahi kuwaona.
Nawasilisha
 
Kuna mmoja yupo pale Nyumba ya sanaa...jaribu kupita uwasiliane nae umsikie!!
 
Sina hakika lakini nasikia zipo na zinashauri makampuni makubwa tu makubwa tu
 
Back
Top Bottom