OGOPASANA
JF-Expert Member
- Apr 30, 2009
- 262
- 144
Habari, wakati wengi wakiendelea kutafuta mitaji ya biashara nimeona si mbaya kama tukipeana riziki. Nina deals mbili kama ifuatavyo:
1 - Nahitaji mtu binafsi wa kunikopesha kiasi cha milioni 100 (mia moja) kwa dhamana za nyumba mbili ili niweze kuendeleza na kuboresha biashara zangu.
2 - Nahitaji mteja wa nyumba ya vyumba kumi (mfumo wa vyumba vitano kushoto vitano kulia) iliyopo wilaya ya Ilala Dar Es Salaam, maeneo ya Kwa Mgondole - karibu na Mvuti. Ina Leseni ya makazi, ina umeme, maji, imekamilika na ina eneo la wazi mbele na nyuma. Bei yake ni milioni 80.
DEAL: Kwa yoyote atakayeweza kunitafutia mtu yoyote kati ya hayo mawili hapo juu, nitampatia commission (cha juu/ kiinua mgongo/ kivuja jasho/ hela ya usumbufu) ya 10% ya kiasi kilichotolewa.
Kwa walio serious tuwasiliane ; 0654 743 825 au niPM.