Business idea please help

karembo

Senior Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
129
Reaction score
44
Hope mko pouwa wana jf.
Mimi nina kama 2million na ninataka kufanya biashara lakini sijui nataka exactly biashara ipi. Help me with the business idea.
 
Hope mko pouwa wana jf.
Mimi nina kama 2million na ninataka kufanya biashara lakini sijui nataka exactly biashara ipi. Help me with the business idea.

Kwa kuwa huna wazo/idea yyt basi nikushauri pitia nyuzi za nyuma hapa jukwaani, ukiipata inayofanana na ww rudi hapa tena ili tuichambue kwa mapana na marefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…