Business IDEA! Upi ushauri wako?

Business IDEA! Upi ushauri wako?

Dr wa Kaliua

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2020
Posts
1,634
Reaction score
3,833
Kutokana na Ongezeko kubwa la maradhi hapa Duniani, kumekuwa na Ongezeko kubwa Sana la Elimu ya Tiba Lishe, na baadhi ya vyakula sahihi kwa maisha ya Binadamu! Kifupi watu wengi Sana wamekuwa na Uelewa na masula ya Chakula.

Business idea
Kutokana na watu kuwa na Elimu ya afya hapa jijini Dar es salaam na baadhi ya maeneo hapa nchini!

Sasa kinachotakiwa kufanywa Ni!
✓ Kufungua kibanda maalumu!(Juice point) kibanda ambacho kitakuwa na madhali mazuri! Vitu vizuri! Na technological equipment kwa ajili ya Utengenezaji wa juice Pekee aina ya Juice Ni pamoja na.

1. Juice ya Miwa
2. Juice ya parachichi.
3.Juice ya Tense
4.juice ya embe nk.

Kuongeza Thamani ya Eneo! Kutakuwa na matunda mazuri expensive!

Hivyo basi mazingira mazuri yatachangia watu kukaa muda mrefu ili kupumzika.

Maeneo?!
Location Ni kigamboni! Kwasababu Kuna idadi kubwa ya wageni na watu mbalimbali wenye kujua Thamani ya juice. Ya asili.


Ipi idea yako.
Upi ushauri wako
Unafamahu changamoto yoyote kuhusu Hilo??

Karibu kwa mchango!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom