Business ideas (Bure)

ahsante mkuu naomba mchanganuo biashara ya fresh juice
 
Kwa mnaofanya kilimo. Nayafuta partner ambae atatoa know how and I will fund the project.
Requirement
1. Only short rotation plantation
2. Must have idea about plantation
3. Proven truck record about kilimo.

Send me a pm

Thanks
 
I'm actually making a mobile game right now hoping to get to that young market I'm not sure if there have been any mobile games made in TZ yet, nipo vizuri katika programming(C#) and 3D modelling. I think I can get something out of it what do you guys think? Is this really a way to make a living, or am I chasing dust? Here is an image of some of my work.
 
Kwa mnaofanya kilimo. Nayafuta partner ambae atatoa know how and I will fund the project.
Requirement
1. Only short rotation plantation
2. Must have idea about plantation
3. Proven truck record about kilimo.

Send me a pm

Thanks

Check here we can do something 0767959073
 
Ni mtazamo unaonaje ukiingia ubia na serikari yako ukatafuta soko linalotumiwa sana na wananchi ukatoa kiasi kidogo cha pesa ukatengeneza miundo mbinu sokon ukaweka hali nzuri ukalitengeneza soko Meza mbovu ukatengeneza nashimo ukaziba wa chini usimtoa ila mtengenezee mazingira Malipo yako yanakuja pale wanapo lipa ushuru nawe unapewa %kwa kwa kila mfanya biashara nikitu kizur ila nimeeleza kwa jujuutu
 

Is Tanzania market ready for such a product? How can you stay competitive with world knowns game companies?
 

Huwa naamini nikiwa jf sipotezi wakati wangu
Najifunza na kujua mengi sana pasipo hata kwa mtoa mada kufaham nafaidika vipi na post zao
Mungu akuzidishie mkuu,wachache sana wanaoweza kutoa business idea zao open kama hivi
[emoji1317][emoji1317]
 
Ndugu wadau, naombeni kusaidiwa wazo la kutoka kimaisha. natamani kuacha kazi ya kuajiriwa(serikalini) na kuanzisha (kucreate) business au jambo litakalonifanya nisisubiri malipo ya mwisho wa mwezi. Naomba changia kwa busara
 
Wenzako wanataman kuajiriwa
Kujiajiri kama huna kipato kikubw ni utumwa mkubwa
 
Nadhani pia maelezo yako ungeyajazia nyama nyama, kama huko serikalini unafanya kazi gani na una muda gani tangu uajiriwe, pia upo mkoa gani na kubwa kuliko naamini kuwa kila mwanadamu ana wazo liwe baya au zuri so wewe kabla ya kupewa wazo ulikuwa na wazo gani ili tuone kama litahitaji kurekebishwa au kupewa wazo lingine
Akhsante nawasilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…