Business ideas (Bure)

ubarikiwe xana mtanganyika kwa ushauri wako, hakika umenipa mwanaga mkubwa. kweli inaezekana issue ni kuwa na taarifa nying sahihi, utafiti na ubunifu ili kifikia lengo.
 
Jambo ambalo nimeona hapa Tanzania ni kwamba vijana wengi hawana uthubutu, na wale walio na uthubutu wanajaribu nusu nusu. Mfano nimekwenda sana mitaa ya mbezi beach nikaangalia fursa mbali mbali, ukiangalia quality ya product ambazo vijana wamezipeleka kule ni mbovu matokeo yake watu wa Mbezi wengi wanakimbilia Mlimani city na maeneo mengine ya mji, no creativity.

Kingine technology haijapenya kabisa, yaani nilitegemea kila duka kuona tunapokea Cash, Tigo Pesa, Mpesa na vingine bila extra fees. Lakini ukitoa 10,000 mtu kaanza vilio, aaah boss sina chenji.
 
Asante sana Kwa mleta huu Uzi.Kwakweli nimejifunza mengi sana kupitia hapa.Ngoja nizichange niingie msituni.
 
much interesting,!!. asanteh sana ngoja nianze kuifanyia Kazi mojawapo.
 
Mtanganyika

Nakubaliana na wewe kwenye idea namba 3. Mimi nataka kujikita kwenye biashara ya lubricants ila nimepata changamoto moja. Products nazotaka kuingiza kwa kuwa zinatoka nchi za Ulaya bei zake katika soko la magari zinakuwa ziko juu ukilingasha na products zilizopo sokoni. Wazo langu ni ku focus kwenye products za viwandani kwa kuwa nina full range katika uwanja wa lubricants. Wakuu naomba mawazo na utaalamu wenu.
 

Mkuu Lubricants is a real money, challenge kubwa kwa sasa ni kucheza shire kwa shilling kwenye soko.
 
its goods ideas! but niwakumbushe tu kitu kimoja kabla hujarudikia hizi idies unatakiwa ujifunze kwanza how they operate
 
mkuu mtanganyika wewe n moja ya watu ambao nimekuwa nikiwatafuta sana, i like buisness n i believe that buisness will take me far than being employed
 
Hi,
We are a company of business and management experts dealing with various consultancies such as project write ups, project evaluations, business plans, company registrations, Taxation, tax returns, business names, business consultancies etc.

Any firm , NGO, company or individuals who need to write a proposals for funding etc, are highly invited to PM the author.

We are committed to finish your work within a given time frame in a professional way you can't imagine. Our price is negotiable. "Kazi Bora kwanza!" is our motto. Mteja wetu huwa analeta kazi nyingine na Wateja wengine, jaribu kutupa kazi hautajuta! PM the author for more details or phone us through our # +255 688 778 484 advance siyo lazima kazi kwanza!
 
Thanks mtanganyika kwa thread hii, naomba tuwasiline kwa namba hii 0756730533 kwa kupeana ushauri zaidi
 

Mkuu God bless uu
 
Mkuu Lubricants is a real money, challenge kubwa kwa sasa ni kucheza shire kwa shilling kwenye soko.

Mtanganyika naweza pata namba yako tafadhali....nimesoma comments zako JF nimevutiwa sana...naomba namba yako tafadhali...kuna kitu tunaweza share nadhani....pls
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…