Business ideas (Bure)

kaka kweli wewe ndio mtanganyika kweli i lake it. hatuwezi kupata kitabu cha kufanya food process ukatutupia hapa mkuu.
 
UPANDE WA KILIMO
@ufugaji samaki
@ufugaji kuku wa mayai na nyama
@ufugaji wa nguruwe
@uzalishaji mbwa na kuwauza

Kilimo mbogamboga
@utengenezaji chakula cha mifugo
@utengenezaji wa unga na kuuuza
@kununua nafaka na kuuza kama mchele
@ulimaji wa mazao ya chakula na biashara
@ulimaji wa matunda

UPANDE WA ELIMU
@ ufundishaji tuition,au shule binafsi
@ Huduma ya chakula mashuleni na ofisini
@ utunzaji wa watoto/day care centre
@ Uuzaji wa past papers na solution zake
@ kufundisha kompyuta
@ uuzaji wa vifaa vya stationery

UPANDE WA ICT
@ uuzaji wa simu,vifaa vya simu na kurekebisha/repair
@ uuzaji wa Pc na vifaa vyake
@ kuwatengenezea web watu

GRAPHICS DESIGN
Huduma ya kurudisha namba zilizopotea
Huduma ya simu pesa(aitel money,tigo pesa na m pesa)

@uchezeshaji wa magemu
Huduma ya banda la kuangalia mechi Uefa,vpl,epl na world cup

BIASHARA NYINGINE
@upakaji rangi
@utengenezaji sabuni na cream body
@utengenezaji batiki
@utengenezaji dawa za chooni
Anzisha blog yako
@ tengeneza app yyt katika google play store
Andika kitabu cha kuelimisha mambo ya dini

@Fanya research na tafuta wafadhili ktk hy mada yako na fanya presentation
@usafirishaji mizigo
@mtengenezaji cake za harusi na mpambaji
Mkufunzi wa mazoezi ya viungo( body fitness trainer)
 
Kati ya hizo wewe unafanya ipi tuje tukague tuone ufanisi wake?maana waafrika maneno mengi vitendo zero.
Pia biashara ya sasa inahitaji ubunifu kitu cha ziada kuliko washindani wako.Ungeweka hivyo viti vya ziada ningekuelewa mfano kumpelekea mteja bidhaa mpaka alipo bila malipo etc
 
Jamani mimi sijamlazimisha mtu afanyie kazi au la ila nimesema ni ideas kwa anayehitaji atafute kujua zaidi na ukitaka kufaulu jambo lolote lazima ukajifunze sasa wewe unayesema nimeorodhesha sasa ulitaka nikufafanulie kila moja? Na wewe kazi yako golkeeper tu kupokea na sio mchezaji wa ndani.Life is a game tafuta mpira
 
Wewe kweli hivi umewahi tengeneza business plan? Kip kinaanza kati ya idea na hizo strategies zako? Kweli inanisikitisha kuona kuwa hujua hata mchanganuo na wazo,hayo yote uliyosema ni kitu kimoja yaani market plan mbona hivi vilivyosalia tisa huvijui,kama wajua shusha nikupime uelewa wako
 
uyu jamaa bhana.. kwa hiyo kuziorodhesha tu..
Wewe ndugu yangu ndio bendera fuata upepo ,mtu akikuambia njia ya kigamboni ipo kisarawe nawe waenda tu bila hata kupima,haya endelea kusubiri watakuletea watakaopita hapa
 
By the way mawazo mazuri
 
Watu sijui wanakulaumu nini STG...uko sawa kabisa mi nachojua kila kitu kinaanza na idea(wazo). Kulikuwepo na wazo la kutengeneza cm,ndege n.k then kitu halisi.mi nakushukuru isitoshe hujamlazimisha mtu! Mbona kuna watu wanaweka utumbo humu seuze mambo ya akili haya?
 
ukiona comment zingine utashia kusema waafrika unaotusumbua ni UJINGA yaani mtu kapoteza muda wake kueleza kwa kina fursa za kufanya unaanza kuhoji BOGUS kweli kaka endelea Mungu atakulipa
 
ukiona comment zingine utashia kusema waafrika unaotusumbua ni UJINGA yaani mtu kapoteza muda wake kueleza kwa kina fursa za kufanya unaanza kuhoji BOGUS kweli kaka endelea Mungu atakulipa
Japo ni mrefuu wacha nkupe like UBONGO WA KITANZANIA HUO.
 
tunashukuru kwa kutupa mawazo. Kuna watu wanatamani kufanya biashara ila hawana hata pa kuanzia. big up! usikatishwe tamaa maana kuna watu kila jambo kwao halifai.
 
Nmependa idea hasa hyo ya packaging na processing ipo kichwan kwangu,thank i
 
mkuu mtanganyika hizi idea ulizotoa ni nzuri sana sema watanzania wengi tunapenda miujiza katika kufanikiwa hatutaki kujishughulisha unashangaa ss hivi mtaani kila mtu kuanzia wa chini analaumu hakuna hela hakuna hela ss hizo hela zimeenda wapi
 
 
NATAFUTA DEEP FRYER INAYOTUMIA GESI KWA ANAYEFAHAMU ZINAKOPATIKANA ANIJUZE

NINAHITAJI KWAAJILI YA KUCHOMEA CHIPS

ANAYEJUA PLIAZE TUPEANE CONTACT


0767 37 08 02
0789 37 08 02
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…