Habari wadau,
Naombeni msaada wa wazo nimechoka kuumiza kichwa mwenyewe..
Ni biashara gani nzuri kwa dar es salaam ya kuuza na kununua (trading) kwa sasa. Biashara ambayo naweza zungusha walau sh milioni 2 au 3 kama "working capital" na nikapata walau sh 30,000 mpaka sh 50,000 kwa siku kama faida.
Ofisi ninayo tayari, leseni na vitu vingine vyote vya kuniwezesha kufanya ila sijajua biashara ya kufanya. Pombe siwezi uza sababu ya kiimani, maji ya jumla maduka kila kona, gesi za nyumani nazo mpaka maduka ya Mangi.
Msaada tutani! [emoji21][emoji21]
Mradi huu mpya utakufaa sana. Kwa milioni tatu utapata si chini ya Sh 25,000 kila siku.
Uwekezaji mbadala usio na stress, wa uhakika na wenye kipato kikubwa zaidi umeingizwa sokoni
Maendeleo katika nyanja za mawasiliano (Internet) yameleta mabadiliko makubwa mno na yenye tija mno kwa wanadamu popote pale walipo duniani katika karne hii ya mawasiliano (Information Age).
Kwa kutumia teknologia ya mawasiliano, kampuni inaweza kusajiliwa popote pale duniani na ikafanya biashara na kila mtu ama ndani au nje ya mipaka ya nchi ambamo kampuni imesajiliwa kwa kuuza bidhaa au huduma zake katika mfumo wa mawasiliano (internet) kwa kutumia tovuti.
Mfano ni bidhaa ya
Cashback Marketing (CBM) inayoletwa kwetu na kampuni inayomilikiwa na wanachama waliotapakaa duniani kote inayoitwa We
Share Success Inc. yenye makao yake makuu Las Vegas, USA.
Hii ni bidhaa ya kutangazia biashara yako lakini ina muundo na motisha ndani yake ambavyo hata kama huna biashara kwa sasa ya kuitangaza bado unaweza ukainunua na ikakuingizia kipato cha mpaka 1% cha kila siku kutokana na pesa ulizolipa kununulia hii bidhaa.
Kila uniti moja ya CBM inauzwa USD 30.
Unaponunua bidhaa hii basi unaamua kama unataka kuitumia mara moja kwa kutangazia biashara yako na hivyo utainunulia kwenye sehemu inayoitwa Personal Marketing Pool ambapo hutalipwa daily cashback au unainunulia kwenye sehemu inayoitwa Global Marketing Pool ambapo unakuwa unaiazima CBM izitumie uniti zako ulizonunua kwa sasa kutangazia biashara za mtandao wa Unicorn Network zilizotapakaa dunia nzima mpaka pale utakapoamua kuanza kuzitumia mwenyewe kutangazia biashara yako. Katika kipindi chote utakachokuwa umeiazima CBM kutumia uniti zako kutangazia biashara zake basi utalipwa daily cashback rate ya mpaka 1%.
Tunatumia lugha ya kusema mpaka 1% kwa sababu daily cashback rate inaweza kuwa kuanzia 0% (yaani hakuna daily cashback rate inayolipwa kwa siku hiyo mpaka 1% ambayo ndio rate ya juu unayoweza kuipata kwa siku.
Kama kampuni, hatutarajii daily cashback rate kushuka chini ya 1% kutokana na fursa zilizopo za kupata mauzo ya zaidi ya 1% kwa siku tutakapotumia hela zilizowekwa ndani ya Global Marketing Pool kutangazia biashara zetu zilizotapakaa dunia nzima lakini kwa sababu biashara yoyote ile inaweza kukutana na changamoto zilizopo nje ya uwezo wake hivyo kuna wakati hali inaweza kuwa ngumu kwa kampuni kuweza kupata mauzo zaidi ya 1% au kukosa kabisa itakapotumia hela zilizopo kwenye Global Marketing Pool kutangazia biashara zake ndio maana kuwa kwenye upande wa uhakika zaidi tunasema daily cashback rate itakuwa kuanzia 0% mpaka 1%.
Wengi wetu tumejaribu biashara na zimetushinda kuzifanya na kuishia kupata hasara kwa sababu nyingi tu zikiwemo:
- ·Kuwajiri watu watufanyie na kutokuwa na muda wa kuzifuatilia matokeo yake waajiriwa wanatumia mwanya huo kukuibia au kuweka maslahi yao binafsi juu ya maslahi ya biashara yako;
- ·Kukosa ujuzi wa kuendesha biashara husika
- ·Gharama nyingi za kuendeshea biashara yako kama vile kulipa pango la ofisi, umeme, maji, usafi, wafanyakazi, ulinzi, n.k.
- ·Uwezo finyu wa kuuza vya kutosha na hivyo kuweza kutengeneza faida ya kutosha kutokana idadi ndogo ya watu unaowategemea kuja kwenye biashara yako kutokana na umbali. Kwa mfano ukiwa na duka basi utauza kwa watu wa eneo hilo tu linalolizunguka duka lako!
- ·Umasikini wa watu unaofanya nao biashara unasababisha biashara kuwa ngumu.
Unaponunua bidhaa hii na ukaitumia kwa ajili ya kupata cashback ya kila siku basi unakuwa huna stress ya kuisimamia biashara uliyoianzisha wewe mwenyewe au kutakiwa kuwa na ujuzi wa kuiendesha au kumwajiri mtu ili akusimamie biashara yako au kulipia gharama nilizozitaja hapo juu au kuwa na wasiwasi wa ufinyu wa soko kwani biashara inaendeshwa na kusimamiwa na kampuni ya kimataifa inayofanya biashara dunia nzima na yenye wataalam waliobobea katika kila fani wanayoshughulika nayo.
Hivyo nawashauri wafanyabiashara na wale ambao wanataka kufanya biashara kufikiria kutenga angalau sehemu ya mapato yao kununua bidhaa hii ama kwa ajili ya kutangaza biashara yako na wakati huo huo unapata pesa za kila siku au kwa ajili ya kupata pesa za kila siku kwanza na kutangaza biashara baadaye wakati utakapoamua au kuwa na biashara yako.
Mapato ya siku utakayoyapata ukinunua uniti za CBM ni makubwa ukilinganisha na biashara zako unazofanya sasa hivi kwa sababu biashara hii ni ya kimataifa hivyo ina ufanisi mkubwa katika mfumo wake wa biashara kuliko biashara yako iliyoishia kwenye ngazi ya eneo unaloishi au wilaya au mkoa au taifa lako tu au kikanda tu kama vile Africa Mashariki.
Kwa mfano tuchukulie umenunua uniti za CBM kwa ajili ya kupata kipato cha daily cashback katika mazingira yafuatayo:
·Kiwango cha cashback cha kila siku bado kiko 1% kama kilivyo kwa sasa
·Ukiwa na shilingi unataka kuibadilisha kwenda kwenye dola basi itakughalimu sh 2,200
·Ukiwa na dola unataka kuibadilisha kwenda kwenye shilingi basi utaiuza dola hiyo kwa sh 2,000.
·Kiasi cha fedha ulichonacho kuwekeza kwenye mradi huu ni TZS millioni 1.
Kwa mfano huo hapo juu basi utakuwa unapata USD 4.5 (TZS 9,000 ) kila siku.
Kwa hiyo kama una biashara unayoifanya au ulishawahi kuifanya ambayo sasa hivi huifanyi tena kwa sababu hailipi au kwa sababu nyingine yoyote ile basi angalia mtaji ulioutumia pamoja na gharama za kila siku za kuundeshea mradi wako na linganisha na pesa ambazo ungetarajia kuzipata kwa siku kama ungeamua kununua CBMs zenye thamani ya mtaji wako ili upate mapato ya kila siku badala ya kuziwekeza kwenye mradi wako.
Kwa mfano kama biashara yako ni bajaji basi mtaji wa kununua bajaji ni TZS milioni 5 na mapato ya kila siku ukimpa dereva akuletee marejesho basi ni TZS 15,000. Lakini ukitumia hela hizohizo (TZS milioni 5) kununua uniti za CBM ili zikupatie mapato ya daily cashback basi utapata kiasi cha USD 22.5 (TZS 45,000 kwa siku!!!
Kwa watakaokuwa tayari kuanza kuitumia CBM kama chanzo chao cha kupata mapato kupitia motisha wa Cashback unaotolewa kila siku basi tuwasiliane ili niwaelekeze cha kufanya kuweza kuitumia bidhaa hii kama uwekezaji mbadala kwa ajili ya kupata daily cashback.
Kumbuka kwamba Cashback Marketing ni bidhaa na sio hati ya uwekezaji hivyo ukishainunua umeinunua kwa ajili ya kutangaza biashara yako na hela hairudishwi. Ndio maana nauita uwekezaji mbadala kwa kuwekeza kwa ajili ya kupata mapato ya daily cashback yanayotolewa kama motisha wa kununua bidhaa hii ambayo ni makubwa zaidi na ya uhakika ukilinganisha na mapato utakayoyapata kwenye biashara yako kutokana na sababu mbalimbali nilizozielezea hapo juu.
Nipigie simu kwa namba hizi 0772 977 330 au 0658 977 330 au tupange tuonane ofisini kwangu kama upo Dar. Ofisi yangu iko Makumbusho Bus Terminal & Shopping Complex, Block A, Ghorofa ya kwanza, Chumba No. FF-04.
Bonyeza kiungo cha CASHBACK MARKETITNG hapo chini kwenda kwenye tovuti ya Cashback Marketing ambapo unaweza kuzinunua hizi uniti moja kwa moja online.