Business ideas zetu ziwalenge watu wa Hali ya chini

belionea

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2014
Posts
1,052
Reaction score
915
Ukisikiliza 'business ideas' za watu wengi utashangaa jinsi wanawaza kufanya biashara kubwa ambazo 'consumers' wake ni wenye vipato vya kati, while Wafanyabiashara wengi Matajiri wao siku zote biashara zao zinawalenga wananchi masikini/wa kawaida kabisa, mf maji, unga, mchele n.k
 
Taja mfano wa hiyo bussines plan maana kwamatajiri umetoa mfano maji, unga nk. Je kwamaskink au zinalenga kutengeneza Sattelite.
 
Ni kweli mkuu, Kitu ambacho nimebaini ktk maisha ya kusaka utajiri ni hiki;

kuanza kuuza vitu vidogo vidogo vyenye uhitaji mkubwa kwenye jamii.
 
Hiyo inatokea kwasababu wajasiriamali wengi wanaoanza hawafahamu lolote kuhusu mbinu zakuanzisha biashara itakayofanikiwa.

Wengi wanafikiri kwasababu idea yake ni nzuri kichwani mwake basi wateja wapo.

This is a lie.

Sasa ngoja nitoe darasa kidogo.

1 • mwanzo kabisa kabla hujaanza biashara chunguza je wateja unaotaka kuwafikia wanauhitaji gani? Pia jiulize je wateja hao wanao uwezo na wapo tayari kulipia au kununua bidhaa/huduma yako?

2 • Baada ya kugundua potential customers wanataka nini na iwapo wanauwezo wa kununua inabidi sasa ujiulize je, wewe mjasiriamali unao uwezo au ujuzi wakutatia hiyo changamoto? Kama huna uwezo/ujuzi unaohitajika inabidi utafute kwanza sehemu ujifunze.

3 • Number tatu ni kuanza kuongea na potential customers wako. WAFAHAMISHE ungependa kuwapatia suluhisho la changamoto wanazokabili. Hii ni muhimu sana kwasababu inajenga uhusiano wakaribu na mteja.

4 • Number nne sasa anza kuuza bidhaa au ujuzi wako kwa wateja wako.

Unaona inavyokuwa rahisi?

Hii mbinu itakusaidia sana kuepuka kupata hasara yakuuza bidhaa au huduma ambayo watu hawahitaji.

Utaokoa muda na fedha.

Kama unahangaika kupata wateja kwenye business yako nitumie pm nitafurahi kukusaidia kufahamu mbinu 10 za kuanzisha biashara itakayofanikiwa.
 
Upo sahihi!
Simply fanya biashara au toa huduma ya watu wanayoikosa hivyo wanaihitaji na si biashara/huduma unayotaka ww kuwauzia! Utapata taabu sana kulishika soko!
 
Back
Top Bottom