Annina JF-Expert Member Joined Nov 15, 2009 Posts 437 Reaction score 59 Apr 11, 2011 #1 Salaam wapendwa, kwa muda mrefu nimekuwa na wazo la kuanzisha business linkages kutokana na uhitaji wa wafanyabiashara wetu. Natafuta mtu mwenye utayari wa kufanya kazi hii. Asante Annina
Salaam wapendwa, kwa muda mrefu nimekuwa na wazo la kuanzisha business linkages kutokana na uhitaji wa wafanyabiashara wetu. Natafuta mtu mwenye utayari wa kufanya kazi hii. Asante Annina
M maswitule JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 1,392 Reaction score 476 Apr 11, 2011 #2 Poa, ni business gani hiyo? fafanua kidogo ili tujue kama inatufaa au la, na pia tunaweza kukupatia watu tunaowafahamu
Poa, ni business gani hiyo? fafanua kidogo ili tujue kama inatufaa au la, na pia tunaweza kukupatia watu tunaowafahamu
L lauti Member Joined Oct 28, 2010 Posts 92 Reaction score 13 Apr 11, 2011 #4 Okey,could I be among of those people?