CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Swala la Location ya Biashara linahitaji hesabu kari sana. Watu wengi sana wanachemka mno hii sehemu.
Unakuta mtu ana wazo zuri sana ila location huja kuua lile wazo.
Wengi baada ya Kodi ya Miezi 6 au mwaka kuisha huwa wanakimbia make huja kugundua hakuna wanacho make.
Location inahitaji akili sana kwenye kuplani ni wapi hasa uweke biashara yako.
Lazima uwe na Justfication za kutosha kwenye hiyo location yako.
Biashara kama Migahawa, super Market hawa ndo wahanga wakubwa wa location.
Kuna mambo lazima uyajue kabla huja amua location.
- Aina ya watu unao watafuta.
- Vipato vyao.
- Ufikiwaji wa hiyo offisi yako, je inafikiwa kirahisi?
Hii pia huwa ni changamoto kubwa sana location labda hakuna Packing au iko sehemu yenye usalama hafifu au usalama mkari sana vyote vina madhara.
- Competitors walioko eneo hilo hapa kuna Direct na Indirect.
- Gharama ya kodi.
- Aina ya Product au Service na upatikanaji wake.Je service au product yako ni uniq sana?
- Muda/Wakati wa kuwa na wateja wengi
Kuna baadhi ya biashara hupata wateja jioni pekee, zingine Mchana pekee, zingine ni asubuhi pekee, zingine ni Weekend pekee na zingine ni Usiku pekee na zingine ni muda wote na wakati wote.