Business management software

makolola

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2014
Posts
765
Reaction score
289

  • Kwa wale wa wenye biashara zao wanahitaji software kwa ajili ya kumanage.Wanahabarishwa kuna software package ambayo inapatikana.

    hii nikwa wali wa:-
    1. Mashuleni: kwa ajili ya kutunza maksi za wanafunzi na kumbukumbu zote za ada na michango, hii itasaidia kupunguza wingi wa mafaili na kuondoa mianya ya recodi kupotea na tatizo la michango kuto recordiwa litapungua.Ukiwa na software hii kumbukumbu zote za mwanafunzi na staff zinaweza kuhifadhiwa kwa umakini zaidi na kupatikana kirahisi zaidi na kwa usalama zaidi.
    2. Hotel Management systems:kwa ajili ya mambo yote ya hotel kwanzia reservation malipo kwa wafanyakazi na kutrack mienendo ya huduma kwa wafanyakazi na miezi yenye wateja wa aiana fulani na wingi wake.Pamoja na inventory/store management kuweza kujua kipi cha kuongeza.
    3. Payrol &Hr sofware:kwa ajili ya kutrack mishahara ya wafanyakazi,advance wanazochukua ,mikopo pamoja na riba zake, kiasi wanachotakiwa kulipa kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii na wanachotakiwa kulipiwa na mwajiri pamoja kodi/paye wanayotakiwa kukatwa.HR inamonitor maendeleo ya mfanyakazi kwa maana ya namana anavyoperform,kuwahi kazini n
    4. Other business.

    wasiliana nasi :+255717034760
    Email:zansususolution@gmail.com






 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…