Mask,sanitizer,gloves, ndoo (zile zenye koki)Wakati dunia ikiendelea kupambana na janga hili la corona lilokuja kwa kasi na kuenea katika nchi mbalimbali katika mabara yote duniani ningependa kupata mawazo yenu juu ya sehemu za kuwekeza au "business opportunities" zitakazojitokeza kutokana na janga hili la corona because business is all about opportunities.
Ningependa kujua soko la dunia litakuwa na uhitaji gani kiujumla.
Ni hayo tu.
You are welcome & stay safe
Sent using Jamii Forums mobile app
Umechelewa ndoo kila mtu mfanyabiashara ameshanunua. Labda uanze kutengeneza sabuni za majiWakati dunia ikiendelea kupambana na janga hili la corona lilokuja kwa kasi na kuenea katika nchi mbalimbali katika mabara yote duniani ningependa kupata mawazo yenu juu ya sehemu za kuwekeza au "business opportunities" zitakazojitokeza kutokana na janga hili la corona because business is all about opportunities.
Ningependa kujua soko la dunia litakuwa na uhitaji gani kiujumla.
Ni hayo tu.
You are welcome & stay safe
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm naongelea baada ya janga hili kuisha opportunities zipi zitajitokezaUmechelewa ndoo kila mtu mfanyabiashara ameshanunua. Labda uanze kutengeneza sabuni za maji
Thnx. but nilikuwa nataka kujua predictions za baada ya janga hili kupita.naona wewe umenitajia vitu ambavyo vina soko zuri sasa hvMask,sanitizer,gloves, ndoo (zile zenye koki)
Kwa Tanzania, labda za kukusanya takataka za plastic kwa maana ya ndoo na vifungashio vya sabuni za majiMm naongelea baada ya janga hili kuisha opportunities zipi zitajitokeza
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja sana mkuu .Stock market ...hisa ztakuwa chini sana wakati huu ni kuchangamka kununua.....baadae kuuza kwa bei kubwa ..
I stand to be corrected
Hata jana nilidiscuss hii ishu na bro....natumai tutapata mawazo chanya hapa
Ok. Vp kuhusu upande wa dunia kiujumlaKwa Tanzania, labda za kukusanya takataka za plastic kwa maana ya ndoo na vifungashio vya sabuni za maji
Stock market ...hisa ztakuwa chini sana wakati huu ni kuchangamka kununua.....baadae kuuza kwa bei kubwa ..
I stand to be corrected
Hata jana nilidiscuss hii ishu na bro....natumai tutapata mawazo chanya hapa