ASHA NGEDELE
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 784
- 327
Habari zenu ndugu,
Naomba msaada kutoka kwa wapenda maendeleo wenzangu. Naagiza magari ya kuuza lakini focus yangu ni kuuza mikoani kwani mjini sasa hivi kila mtu anaagiza magari na demand mikoani bado ni kubwa ila tatizo network.
Naomba kwa yeyote ataeweza kunisaidia mawasiliano ya dalali wa kuuza magari kutoka mkoa wowote Tanzania ili niwashirikishe kwenye mchakato huu.. Najua at some point ushawahi kutana na hawa jamaa kama ushauza au kununua gari.
Hizi ni harakati za kujikwamua kupunguza umaskini kwahio ukinisaidia mawasiliano haya utakuwa umemsaidia pia huyo dalali na familia yake kwani hauzi magari bure.
Naomba nitumie kwenye inbox mawasiliano hayo tafadhali kwani sio vizuri kuweka kwenye public mawasiliano ya mtu bila ridhaa yake.
Natanguliza shukrani.
Asha
:smiling: