Business Opportunity kuwa ISP Mikoani na Wilayani

 
Mkuu;

Huu ni mchakato wa kuifanya nchi yetu ifikike kwa mfumo wa ICT na kwa hakika kwa wale walio serious ni biashara makini sana.

Tuko tayari kusaidiana.
poa mtu wangu i believe this plan will work i promise to be one among watu watakaoshiriki kuderiva hivo service nipo mbeya
 
Habari njema hii. Nipo kwenye Cybercafe business na ningeoenda ku upgrade to ISP, please ningependa kupata more info, tuwasiliane via bmkunyi{at}gmail{dot}com
 
I m very much interesting on this, I would like to know better. Please send to me also edmeenda{at}yahoo{dot}com
 
Wakuu wote;

Nashukuru kwa posts zenu na hata wale walio ni PM.

Niko safarini lakini nitawaomba wahusika wawatumie info ASAP.

Nimeambiwa na vijana kuwa wameshamaliza internal tests na Tarehe 27th July 2009, DSM itakuwa live kwenye Submarine Fiber Backbone. Hii ni kwa wale wote ambao ni Existing Customers
 
Mkuu naona hii imekaa powaa sana na ni empowerment initiatives nzurii mnooo..

hebu nitumie info zote through neec{at}uwezeshaji{dot}go{dot}tz tuone kama ofisi how we can support the move in terms of dissemination to the public.

hata ikiwezekana kuwapatia mikoa (wadau wa mikoani na wilayani) elimu kuhusu how to join the business na umuhimu wake...

safiii
 
poa mtu wangu i believe this plan will work i promise to be one among watu watakaoshiriki kuderiva hivo service nipo mbeya

Mkuu;

Kwa sasa jamaa hawana ISP yoyote Mbeya. So that will be a golden opportunity.
 
Habari njema hii. Nipo kwenye Cybercafe business na ningeoenda ku upgrade to ISP, please ningependa kupata more info, tuwasiliane via [/quote]

Mkuu info zimeshatumwa kwako!
 
 
hi there am new here. well naomaba unitumie infomation nipo kagera. email yangu ni songoro07at yahoo. com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…