Business Opportunity kuwa ISP Mikoani na Wilayani

Eeeeeeeeee na wewe upo hapa?
How r U?
Chuo umemaliza?

Na mimi MF nataka nifanye hiyo hapo Bukoba🙂 Lakini I am still making up my mind

Mkuu; Nitumie barua pepe yako information pack zitakufikia.
 
UPDATE: INFORMATION NO. 2

- Kwa wale wanaofuatilia, habari ni kuwa SEACOM SUBMARINE OPTIC FIBER iko LIVE toka Thursday 23rd July 2009.

- Dodoma imeunganishwa tayari kupitia Fiber ya TANESCO (Hakuna confirmation kama wako LIVE)

- Chuo Kikuu cha DSM tayari nao wameunganishwa (Hakuna confirmation kama wako LIVE)

- Kampuni hii ambayo ina-Offer Business Opportunity imekuwa ISP ya kwanza kujiunga katika mtandao wa SEACOM kutoka katika Distribution Hub pale TTCL Kijitonyama.

- Kama kila kitu kikienda sawa Technical, wateja wa DSM watakuwa LIVE on SEACOM from next week or first week of August.

- Kwa wenye mahitaji ya kuanzia 256 Kbps unaweza kuni-PM kama uko DSM nitakupatia utaratibu wa kuunganishwa
 
Oh that sounds soo sooo cool i was waitin for it for lond tyme
gime da details on sabo01deny2002(at)yahoo(dot)com
Bless yoo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…