U Uswe JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 2,204 Reaction score 628 Aug 21, 2014 #1 Kama ungependa kuwa wakala wa benki, tuwasiliane kwa namba 0754-730813 Vitu vya kuzingatia 1. Soma Page number 5 na 6 kwenye hii guideline ya BOT kujua kama umekindi vigezo vya kuwa agent. https://www.bot-tz.org/BankingSuper...ENT BANKING FOR BANKING INSTITUTIONS 2013.pdf 2. Unafungua akaunti katika benki yeyote ya UmojaSwitch (chagua benki upendayo kati ya benki 27) 3. Nunua Mashine POS kwa sh 600,000 POS kutoka kwangu 4. Unakuwa wakala wa benki za Umoja, rudi namba moja kujua huduma ambazo wakala wa benki anaweza kufanya. 5. Mbali na kuwa wakala wa benki za umoja, unaweza kufanya huduma zifuatazo kwa mashine hiyo hiyo moja. Kulipa Luku Kulipa TRA Bili za Maji ZUKU DSTV Vocha za Simu (Tigo, Airtel na Vodacom) Unaweza kutoa/kuwaka pesa kutoka Mpesa, TigoPesa au Airtel Money Malipo yanaweza kufanyika kwa cash au kwa kutumia kadi yeyote ya UmojaSwitch Karibu kwa maswali, changamkia nafasi ya biashara
Kama ungependa kuwa wakala wa benki, tuwasiliane kwa namba 0754-730813 Vitu vya kuzingatia 1. Soma Page number 5 na 6 kwenye hii guideline ya BOT kujua kama umekindi vigezo vya kuwa agent. https://www.bot-tz.org/BankingSuper...ENT BANKING FOR BANKING INSTITUTIONS 2013.pdf 2. Unafungua akaunti katika benki yeyote ya UmojaSwitch (chagua benki upendayo kati ya benki 27) 3. Nunua Mashine POS kwa sh 600,000 POS kutoka kwangu 4. Unakuwa wakala wa benki za Umoja, rudi namba moja kujua huduma ambazo wakala wa benki anaweza kufanya. 5. Mbali na kuwa wakala wa benki za umoja, unaweza kufanya huduma zifuatazo kwa mashine hiyo hiyo moja. Kulipa Luku Kulipa TRA Bili za Maji ZUKU DSTV Vocha za Simu (Tigo, Airtel na Vodacom) Unaweza kutoa/kuwaka pesa kutoka Mpesa, TigoPesa au Airtel Money Malipo yanaweza kufanyika kwa cash au kwa kutumia kadi yeyote ya UmojaSwitch Karibu kwa maswali, changamkia nafasi ya biashara
K kobori JF-Expert Member Joined Feb 17, 2014 Posts 201 Reaction score 36 Aug 21, 2014 #2 du mkuu , mbona tunaweza fanya biashara......I own mobile banking services..... nina ofisi nzuri, but mtaji wangu kidogo. hata hiyo machine napenda kuinunua but uwezo. but pia huku niliko sina uhakika wa wateja wa umoja switch banks
du mkuu , mbona tunaweza fanya biashara......I own mobile banking services..... nina ofisi nzuri, but mtaji wangu kidogo. hata hiyo machine napenda kuinunua but uwezo. but pia huku niliko sina uhakika wa wateja wa umoja switch banks
IPILIMO JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 1,819 Reaction score 802 Aug 21, 2014 #3 Nachangamkia, nimekuandikia meseji mkuu kwa simu yako.
U Uswe JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 2,204 Reaction score 628 Aug 21, 2014 Thread starter #4 IPILIMO said: Nachangamkia, nimekuandikia meseji mkuu kwa simu yako. Click to expand... Nimeona thanks 🙂
IPILIMO said: Nachangamkia, nimekuandikia meseji mkuu kwa simu yako. Click to expand... Nimeona thanks 🙂
U Uswe JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 2,204 Reaction score 628 Aug 21, 2014 Thread starter #6 jessenmutta said: Ni kwa mikoa gan? Click to expand... Kwa mikoa yote
Kuku wa Kabanga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2009 Posts 807 Reaction score 369 Aug 23, 2014 #7 Lazima niwe na kampuni au naweza operate individualy?
U Uswe JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 2,204 Reaction score 628 Aug 23, 2014 Thread starter #8 Kuku wa Kabanga said: Lazima niwe na kampuni au naweza operate individualy? Click to expand... Unaweza kuoperate bila kampuni lakini lazima uwe na biashara ingine....soma Hiyo guideline ya BOT
Kuku wa Kabanga said: Lazima niwe na kampuni au naweza operate individualy? Click to expand... Unaweza kuoperate bila kampuni lakini lazima uwe na biashara ingine....soma Hiyo guideline ya BOT
muima JF-Expert Member Joined Jul 30, 2014 Posts 276 Reaction score 66 Aug 31, 2014 #9 How do I get profit?