Business opportunity

Ianema65

New Member
Joined
Jul 26, 2015
Posts
3
Reaction score
1
Ni nafasi ya kipekee kwetu sisi vijana kwa kujiajiri kwa mtaji wako mdogo sana wa tsh elfu 40 na kutengeneza zaidi ya usd 500000. Check me on 0759 116066
 
Kama kweli ungeweka maelezo hapa.

Wacheni utapeli.
 
Huo ni utapeli mkubwa. Kwanza nakushauri jitajirishe ww mwenyewe na familia yenu kwanza.
 
Hata foreverliving hawajitangazi namna hiyo.
Watu wa forever wana techniques za ajabu, kuna bidada mmoja ye huwa anasema ana shughuli ila hasemi ni shughuli ya nini, anatoa tu mwaliko anaandaa chakula na vinywaji
wapenda vya bure wanakaribia afu hakuna cha shughuli wanakutana na mahubiri ya forever
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…