Business Partner Anahitajika Katika Upanuzi wa uzalishaji Sabuni za ngozi na Mafuta Nywele

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,414
Reaction score
2,181
Namshukuru tumeweza kwa muda wa miaka 5 kuzalisha na kusambaza mikoani bidhaa 5 za ngozi na nywele. Sasa wingi wa oda kwa mawakala wa mikoani, unafanya tushindwe kuwahudumia kwa wakati kwa upungufu wa mtaji.

Tumeweza zalisha bidhaa 5 ambazo ni
1.Udongo tiba

2. Sabuni za udongo

3.Lotion

4. Mafuta ya Nywele

5. Shampoo

Hivyo nahitaji Partner mpya aangalie ramani ya biashara , vipi atawekeza,vipi atapata faida. Partners wasizidi 2 kwa kuanzia ili uendeshaji uwe rahisi na kiasi cha uwekezaji kisizidi milioni moja kwa robo mwaka hii kulingana na plan.
Piga 0713-039875 tuyajenge. Tuko Kibaha mjini.



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…