Business Partner Anahitajika Katika Upanuzi wa uzalishaji Sabuni za ngozi na Mafuta Ya Nywele

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,414
Reaction score
2,181
Namshukuru Mola tumeweza kwa muda wa miaka 5 kuzalisha na kusambaza mikoani bidhaa 5 za ngozi na nywele. Sasa wingi wa oda kwa mawakala wa mikoani, unafanya tushindwe kuwahudumia kwa wakati kwa upungufu wa mtaji.

Tumeweza zalisha bidhaa 5 ambazo ni

1.Udongo tiba

2. Sabuni za udongo

3.Lotion

4. Mafuta ya Nywele

5. Shampoo

Hivyo nahitaji Partner mpya aangalie ramani ya biashara , vipi atawekeza,vipi atapata faida. Partners wasizidi 2 kwa kuanzia ili uendeshaji uwe rahisi na kiasi cha uwekezaji kisizidi milioni moja kwa kipindi hiki kilichobaki cha mwaka hii kulingana na plan.
Piga 0713-039875 kwa maelezo ya mkataba na mgawanyo wa faida. Tuko Kibaha mjini.
 

Attachments

  • lotion.jpeg
    70.5 KB · Views: 4
  • Mgando.jpeg
    34.3 KB · Views: 4
  • Product Line.jpeg
    26.4 KB · Views: 4
  • sabuni.jpeg
    4.7 KB · Views: 5
  • Shampoo.jpeg
    49.1 KB · Views: 3
  • Udongo Tiba (1).jpeg
    39.4 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…