Kwa mfano mtoto hajatimiza miaka 18 kitambulisho cha NIDA hana wala TIN NUMBER inakuaje sasa hapoKufungua kampuni kama watu wawili haimaanishi kua lazima awe mtu mwingine wa mbali au akuchangie mtaji ila unaweza muweka hata mwanao, mkeo (ila inasemekana kuishi nao kwa akili hawa viumbe so take care), mama yako, baba yako, etc, na biashara yako ukaiendesha mwenyew kiuhalisia, kama unataka mtu tofauti na family yako napo ni sawa ila tumia muda kumsoma kama atakufaa...! Kila la kheri
Wakati nilipokua nikifuatilia nilipata taarifa kua unaweka jina tu ila sio wanakuja kukagua so hata ww na mtoto wa miaka miwili mnamilik. But kama inahusu professional flan bas utatakiwa kuajiri mtu aliesomea fan hyo.Kwa mfano mtoto hajatimiza miaka 18 kitambulisho cha NIDA hana wala TIN NUMBER inakuaje sasa hapo
Hakuna ruhusa ya kusajiri kampuni Tanzania ukiwa huna kitambulisho cha nida,pia umri lazima uwe mtu mzima sio mtoto. Usimpotoshe.Wakati nilipokua nikifuatilia nilipata taarifa kua unaweka jina tu ila sio wanakuja kukagua so hata ww na mtoto wa miaka miwili mnamilik. But kama inahusu professional flan bas utatakiwa kuajiri mtu aliesomea fan hyo.
E.g kama ni engineering cases basi engineer pia awe amesajiriwa na bod ya wahandisi (ERB), Etc, huyu lazma asubmit softcopies ya vyet kuthibitisha, hii ni kukusaidia ww kuweza kupata tenda kubwa hat serikalin, eta... lakn pia hapa unaweza kaa kitako na mweny fan yake kutumia vyet vyake kwa makubaliano mtakayofikia. Kweny sekta ya usafi sijajua ila nahis kuna watu wamesomea hzo mambo sijui wanaitaje.
Mkuu tafadhali kama unaweza kusoma uzi huu soma halafu tuone kama tunaweza kufanya kitu ikikupendeza...Habarini wakuu!
Niende moja kwa moja kwenye mada, mimi ni kijana mtanzania nina wazo la biashara la kufungua kampuni ya usafi.
Niko Mwanza jiji nahitaji mtu wa kushirikiana nae kufanya naye biashara tajwa hapo juu, nimejifunza vya kutosha na nina mtaji kiasi.
Nipo tayari lakini kwa sasa nahitaji partner kama munavyojua biashara ya kampuni lazima ianzie watu wawili.
Karibu kijana mwenzangu uliye tayari ni inbox tu.
Mkuu mwanzo nimesema niliambiwa na mtu hvo wakat natafuta taarifa so sio mm nimeamua kumpotosha na wala nilikua sijui kama nilipotoshwa na huyo mtu. Asante kwa kuniongezea kitu mkuu... Ila Nadhan taarifa sahihi ni kutafuta BRELA. asante.Hakuna ruhusa ya kusajiri kampuni Tanzania ukiwa huna kitambulisho cha nida,pia umri lazima uwe mtu mzima sio mtoto. Usimpotoshe.
Asante