Business partner: Mimi ni mhangaikaji na fursa zipo lakini sina mtaji wa kutosheleza

Fanya kuja inbox tuchat kwa kifupi,unipe A B C D then tuone tunafanyaje.
 
Support idea za vijana sio kutoa kauli kuwa vijana wajiajiri wakati hamna support yoyote.
 
Uko mkoa gani??na hiyo biashara inahitaji uwepo wako kiasi gani??

Nipe namba yako pm ya whatsapp.

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
 
Mwanangu komaaa .utatoboa maneno ya watu waliokata tamaa wataona kama tapeli.ila tuliopitia kama wewe tunakuelewa sana.nakuja pm unipe mlolongo ........
 
°Elezea ziro risk how?
°Eleza biashara yenyewe?
°Jaribu kuwa muwazi zaidi maana hali sio shwari kabisa.
N. B, watu wamekuwa wajanja sana nowadays,mtu anaweza kukwambia lipa hapa pesa mzigo utakuja na gari then usije yeye akawa wa kwanza kulia kwa nguvu, kumbe ni mipango!
 
Navosema zero risk means huwezi poteza hela yako hata cent 1 mtaji utakuwa salama 100%

Kuhusu ujanja siwezi kukupinga ndo maana nikasema everything kitafanyika mbele yako na muda wote utaweza kuona maendeleo na faida pia ikipatikana itajulikana so nothing is hidden mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…