Encysis Inc
Member
- Jul 31, 2019
- 87
- 118
Uhitaji wa Kuku wa Kienyeji na Ndege pori unazidi kukua jijini huku upatikanaji wa Bidhaa halisi ukizidi kuwa Hafifu sana sokoni.
Hapa ndiopo napata wazo namna ya kuazisha Shamba dogo la kuhifadhi ndege hawa ambapo mteja atawapata kwa wakati wakiwa na afya nzuri zaidi.
Kwasasa najishuulisha na uuzaji wa Mayai ya Kisasa na Kienyeji hapa Kariakoo, mambo yanakweda vizuri japo hatukidhi kutoa huduma kamili kutokana na ufinyu wa bajeti iliyopo.
WAZO.
Kuwa na eneo la wazi, ambalo litaandaliwa vizuri kwa kuwekwa miundombimu yote muhimu kwa ajili ya kufuga ndege hawa
Kuna maeneo mawili mpaka sasa nayafuatilia.
1. Manispaa ya Temeke
2. Manispaa ya Ubungo
Maeneo haya yote yako pembezoni mwa barabara kuu, hivyo kuvutia zaidi wateja wapitao kwa kuona kwa macho
MIUNDOMBINU.
Nyavu, Bati, bomba kwa ajili ya ujenzi wa mabanda mazuri na imara, mbao, vyombo vya kulishia,
UENDESHAJI WA MRADI.
Hapa wanafugwa ndege pori, kuku bata, njiwa na Kanga
Tutakuwa tukiuza Jumla na rejareja
Ndege hawa wote watatolewa mikoani kwa kukusanya brid zinazofanya vizuri zaidi
Mimi nitakuwa mtendaji hivyo anahitajika Muwezeshaji
Mgawanyo ni 50% kwa 50%
CHANGAMOTO:
Changamoto kama magonjwa, hali ya hewa na Hali ya soko tutakabiliana nazo kwa haraka ili kulinda uwekezaji
Mradi huu sio kwamba unaanza bali unaendelezwa kwani nina uzoefu katika Eneo hili
Jiji la Dsm watu wana uhitaji mkubwa sana wa vitu fresh na vyenye afya ila upatikanaji ni changmoto sana.
Nimegundua pia Na bei sio tatizo endapo kama una bidhaa inayokidhi mahitaji ya mteja.
Mradi huu u akwenda kutoa suluhisho la tatizo hili kwa wakazi wa mji huu na biashara itafanyika kwa ukubwa
Niko Kariakoo, Mtaa wa Likoma/Magila
+255-767-11-222-1
wa.me
Twitter @WorldChickenDsm
Nimeandika kwa uchache
Karibuni kwa mchango wa mawazo
Habari za muda huu tena.
Eneo la kudumu kwa zaidi ya kipindi cha miaka mitatu limepatikana, eneo ambalo litatumika kuendesha mradi huu wa kuku na kanga ambapo soko kuu ni Dsm. Soko ni hai na ndio limeleta msukumo eneo litafutwe na lipatikane.
Eneo liko mkoa wa Dodoma wilaya Kongwa. Ukitokea Dsm shukia Gairo stand mpya kisha panda gari za kwenda Sunya na ushuke Lobilo shamba lilipo. Eneo lina nyumba ya kuishi na nyumba ndogo. Ni eneo la ekari moja.
MALENGO.
Ni kuendesha mradi wa kuku 750 hadi 600 katika eneo hili kwa kuanzia. Gharama za uendeshaji sio kubwa sana kwa eneo hili kwani sehemu ya shehena ya vyakula vya kuku inapatikana kwa gharama nafuu isipokuwa kwa vyakula vitakavyoagizwa nje ya mkoa kama Mwanza.
Hali ya hewa ni stable na eneo limejitenga hivyo kutoa ulinzi wa mradi kwa mlipuko wa magonjwa
MAHITAJI
1. Solar kits kwa ajili ya nishati kwasababu nyumba haijafikiwa na umeme
2. Fence rola 8 kwa ajili ya kuzungushia eneo zima na kugawa partition
3. Vifaa vya kisasa vya kuunda mabanda ya kisasa
4. Simtanks
5. Incubator ndogo
Tutaanza kwa kutotolesha tray 25 kwanza.
Kuku tray 20 na kanga tray 5.
KARIBUNI.
View attachment 2342246View attachment 2342249View attachment 2342252

Открыть WhatsApp
WhatsApp Messenger: Более 2 миллиардов человек в более чем 180 странах используют WhatsApp, чтобы всегда и везде оставаться на связи с друзьями и близкими. WhatsApp — это бесплатное приложение, которое предлагает простой, безопасный и надёжный обмен сообщениями и звонками, доступное на мобильных...
wa.me
Nimeandika kwa uchache
Karibuni kwa mchango wa mawazo
Habari za muda huu tena.
Eneo la kudumu kwa zaidi ya kipindi cha miaka mitatu limepatikana, eneo ambalo litatumika kuendesha mradi huu wa kuku na kanga ambapo soko kuu ni Dsm. Soko ni hai na ndio limeleta msukumo eneo litafutwe na lipatikane.
Eneo liko mkoa wa Dodoma wilaya Kongwa. Ukitokea Dsm shukia Gairo stand mpya kisha panda gari za kwenda Sunya na ushuke Lobilo shamba lilipo. Eneo lina nyumba ya kuishi na nyumba ndogo. Ni eneo la ekari moja.
MALENGO.
Ni kuendesha mradi wa kuku 750 hadi 600 katika eneo hili kwa kuanzia. Gharama za uendeshaji sio kubwa sana kwa eneo hili kwani sehemu ya shehena ya vyakula vya kuku inapatikana kwa gharama nafuu isipokuwa kwa vyakula vitakavyoagizwa nje ya mkoa kama Mwanza.
Hali ya hewa ni stable na eneo limejitenga hivyo kutoa ulinzi wa mradi kwa mlipuko wa magonjwa
MAHITAJI
1. Solar kits kwa ajili ya nishati kwasababu nyumba haijafikiwa na umeme
2. Fence rola 8 kwa ajili ya kuzungushia eneo zima na kugawa partition
3. Vifaa vya kisasa vya kuunda mabanda ya kisasa
4. Simtanks
5. Incubator ndogo
Tutaanza kwa kutotolesha tray 25 kwanza.
Kuku tray 20 na kanga tray 5.
KARIBUNI.
View attachment 2342246View attachment 2342249View attachment 2342252
Attachments
-
IMG-20220726-WA0005.jpg59.3 KB · Views: 32 -
20220726_082507.jpg72.1 KB · Views: 28 -
IMG-20220726-WA0002.jpg55.6 KB · Views: 31 -
images%20(98).jpg9.4 KB · Views: 31 -
images%20(97).jpg27.2 KB · Views: 32 -
images%20(70).jpg11.3 KB · Views: 26 -
IMG-20220610-WA0006.jpg125.2 KB · Views: 27 -
20220614_160104.jpg73.3 KB · Views: 26 -
images%20(45).jpg9.7 KB · Views: 25