Natafuta business partner, biashara ni kufungua campsite maeneo ya morogoro. Eneo lina viewpoint nzuri, unaweza ona mji wote wa morogoro, bwawa la Mindu, SUA, sunset na sunrise, Uluguru Nature Reserve pia. Watalii ni wengi hivyo biashara ni ya faida. Uwe na kiasi kisichopungua Milioni 5 na kuendelea. Kuhusu mikataba na business plan nitafute kwa +255713769013 au
emmanuelmgimwa@gmail.com (Kwa walio-serious tu)